Jumamosi, 14 Mei 2016

Hezbollah killing: Jihadists blamed for Badreddine death

Mustafa Amine Badreddine, file

Image caption Mustafa Amine Badreddine was involved in Hezbollah military operations for years
Hezbollah's top military commander in Syria, Mustafa Amine Badreddine, was killed in artillery fire by jihadists, the Lebanese group says.
Badreddine's death near Damascus airport was announced on Friday and initially blamed on Israel, Hezbollah's chief enemy.
Badreddine was believed to have run all Hezbollah's military operations in Syria since 2011.
Thousands of Hezbollah troops are supporting President Bashar al-Assad.
This has pitted it against several groups of anti-Assad rebels - from so-called Islamic State (IS) to the al-Nusra Front.
Without naming any group, the Hezbollah statement said: "Investigations have showed that the explosion, which targeted one of our bases near Damascus International Airport, and which led to the martyrdom of commander Mustafa Badreddine, was the result of artillery bombardment carried out by takfiri groups in the area."
Takfiri is used to describe militants who believe Muslim society has reverted to a state of non-belief

Jumamosi, 7 Mei 2016

tanzanian gospel songs


ijue dini yako na ya mwenzako, upate kuishi kwa amani duniani

Dini ni nini?:
Kama ilivyo ada wapendwa katika bwana leo nmewaandalia blog ambayo itakuwa ikizungumzia mambo kadha wa kadha kuhusu dini, utapata nyimbo mbalimbali za dini za kikristu na kiislamu.
utapata dondoo kedekede za maswali na majibu kutoka dini mbalimbali.
nmelenga zaidi kuwa weka sawa watu wengi wajifunze na kuelewa umhimu wa kuvumiliana katika dini (religious torelance). hii yote ni kutokana baadhi ya wengi wetu kujisahau kuwa sote tume umbwa na baba mmoja yaani ( Mungu) na hivyo ni wamoja. Awali ya yote ebu tuanze kutazama maana halisi ya neno dini.

DINI,

Dini (kutoka Kiarabu اﻟدﻴن, tamka: ad-din) inamaanisha jumla ya imani ya binadamu kadhaa pamoja na mafundisho wanayotoa kuhusu yale ambayo wanayazingatia ama kuyasadiki, yaani mambo ya roho, kama vile kuhusiana na Mungu, maisha na uumbaji.
Ibada ni nguzo mojawapo iliyo dhahiri miongoni mwa dini kadhaa katika kuunganisha dhamira za mwenye kushika dini na mhimili wa imani, lakini dini inahusu pia mafundisho kuhusu maadili, mema na mabaya, imani na jinsi ya kushiriki katika jumuiya za waumini.
Kwa maana nyingine "dini" inataja jina kielelezo juu ya aina mbalimbali za imani jinsi inavyopatikana duniani, yaani jumuiya za kidini.                            

                           tazama nembo mbalimbali zinazo tumiwa na dini mbalimbali



                          


Dini kama jumuiya kubwa

Dini kuu na asilimia ya wafuasi kati ya watu wote duniani.
Dini kwa maana hiyo yenye wafuasi wengi duniani ni:
Pamoja na hizi kuna dini mbalimbali zinazojulikana tangu karne nyingi duniani hata kama idadi ya wafuasi si kubwa sana kwa mfano:
Pia kuna imani ambazo zinafanana kwa namna fulani, hivyo mara huhesabiwa kama imani mbalimbali za pekee, mara huhesabiwa kama kundi la dini zenye misingi ya pamoja au kama matawi ya imani moja. Zikitazamiwa pamoja idadi ya wafuasi ni kubwa kiasi lakini zikihesabiwa moja-moja idadi ya wafuasi si kubwa sana, kama vile: